UTANGULIZI
Pesa ni nini?
pesa ni kifaa cha kibiashara kinachohusika hasa kama chombo kikuu cha mabadilishano. Badala ya kubadilishana bidhaa kwa bidhaa basi pesa itahusika kama chombo kikuu cha mambadilishano.
Pesa inakadiliwa kuanza kutumika mnamo miaka maelfu kabla ya kristo na sarafu ya kwanza inasemekana kuwa ndani ya karne ya 7 bc na pesa za karatasi zilianza mnamo 1020 AD.
inasemekana watu wa lidian ndio wakwanza kutengeneza sarafu. japo miaka ya hivi karibuni wanaakiolojia wa China wamegundua ushahidi wa mnanaa wa kutengeneza sarafu ulioko katika Mkoa wa Henan wa China unaofikiriwa kuwa wa 640 B.K. Mnamo 600 K.K.
watu wa Lydian walitengeneza sarafu zilizotumiwa sana katika kufanyia biashara.
0 comments:
Post a Comment