JINSI YA KUONDOA GMAIL ACCOUNT KWENYE SIMU YAKO.

 Muda mwingine unaweza kushindwa kufanya jambo la kuongeza account zingine kwasababu tu simu yako imejaa.

Au 


Unaweza kulog in account yako ya Gmail kwenye simu ya mtu na ukataka kuifuta baada ya kumaliza haja zako.

Usiogope ni rahisi sana kuiondoa Gmail account yako kwenye simu hiyo.

Kwanza kabisa fuata hatua zifuatazo.

1. Fungua Gmail app kwenye simu yake

2. Bonyeza kwenye picha ya mmiliki wa account.

   Maranyingi hapo utakuta picha ya mtu kama aliiweka au utakuta Herufi ya kwanza ya jina lake kama hakiweka picha.

3. Bonyeza chini kabisa pameandikwa Manage account from this device

4. Nenda na chagua account unayotaka kuifuta kisha ibonyeze

5. Bonyeza Remove account

6. Bonueza tena remove account

7. Done

    Tazama video yetu ya youtube ikusaidie zaidi

Bonyeza hapa kutazama


Hapo utakuwa tayari umefanikiwa kuondoa account hiyo kwenye simu ya huyo mmiliki kisha utakuwa salama kabisa.

 Karibi endelea kujifunza zaidi juu ya namna ya kujiondelea simu ambazo zinatumia email yako ukiwa mbali. Ni darasa litakalofuata.

Comment unacotaka kujifunza downbelow.

Ahsante

By Thobias Cosmas

About TECHNO ONLINE RICHES

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments: