HOW TO CREATE A PAGES ON BLOGER AND TO ADD POST IN THE PAGES ---- swahili Version: JINSI YA KUTENGENEZA PAGE NA KUPOST KWENYE PAGE

 

HOW TO CREATE A PAGES ON BLOGER AND TO ADD POST IN THE PAGES

JINSI YA KUTENGENEZA PAGE NA KUPOST KWENYE PAGE

 

Habari, ni wakati mwingine mzur
i ambao sasa utaenda kujifunza namna gani ya kutengeneza page kwenye blog website na kuweka post zako kwenye page hiyo utakayokuwa umeitengeneza.

Page ni kurasa kwa lugha rahisi lakini kurasa hii ndiyo inayoonyesha mgawanyo wa sehemu tofauti tofauti zilizopo katika blog website. Kwahiyo mgawanyiko wa sehemu kwenye blog hiyo ndio page, sawa basi tuendelee.

Kama unataka kuiweka blog yako kwenye muonekano mzuri basi hapa ni mahali pekee ambapo unaweza kutengeneza muonekano mzuri wa blog yako.

Blog designing inategemeana na Page designing na Themes and layout designing, nitafanya yote kwa ajili yako ili basi blog yako iwe na muonekano wa kuvutia kwa mtu yeyote atakaye iona basi imvutie.

Basi bila kuchelewa naomba twende sambamba kwa namna gani ya kutengeneza page kwenye blog website na kupost kwenye hiyp page.

Page image

PAGE CREATION/ JINSI YA KUTENGENEZA PAGE.

Katika kitu rahisi kwenye blog hususani blogger.com ni kutengeneza page, lakini kitu kigumu kinachosasumbua wengi ni kuweka post zako kwenye hiyo page, usiogope, twende sambamba.

 Ila kutengeneza page yako kwenye blog basi unatakaiwa kufuata njia zifuatazo

Hatua za kufuata ili kutengeneza page

 

1.   Bonyeza new page

Ukisha bonyeza new page ambayo inapatikana upande wa kushoto kwenye blogger field na baada ya kubonyeza itakuja kama unataka kuandika kitu hapo au kuweka post ya aina yoyote. Baada ya hapo fuata hapa

 New page image

 

2.   Andika Title ya page yako

Hapa utatakiwa kuandika neno ambalo limebeba dhima la page yako

Page title image

 

3.   Bonyeza publish kisha maliza na kubofya comfim

Publish image

Vixuri, mpaka hapo tayari umeweza kufungua/ kuanzisha page lakini page hii itakuwa haina kitu chochote, (emty page) kwakuwa tayari umefungua page basi fuatana name ili uweze kuweka posts kwenye page hiyo uliyo ifungua. Ni rahisi na usiogope.

 

JINSI YA KUWEKA POST KWENYE PAGE

Hakuna sababu ya kuogopa katika hili, okay, umekwisha kutengeneza post mbalimbali ambazo zina mada tofauti tofauti na katika hizo kuna baadhi ya topics ambazo zinaingiliana, sasa usiogope ni rahisi sana kufanya mpangilio mzuri wa post yako kwenye webview. Twende sawa,

ili uweze kuzipost kwenye page husika ulizozitengeneza basi yafuatayo ni muhimu sana kufuata.

 

Hatua za kufanya kupost kwenye page

Ukisha maliza kufungua page na kufweka post zako basi hatua ya kwanza kabisa

 

1.   Fungua post unayotaka kuiweka kwenye page yako

 

2.   Mkono wa kulia kuna mahali pameandikwa lables bonyeza hapo na kisha jaza jina la page yako hapo kama ulivyoiandika. Kisha bonyeza update

 

Labels image

 

3.   Bonyeza website preview ili kuangalia post hiyo ilipo, na post hiyo utaikuta kwenye post tag ya jina uliyoiandika kwenye labels, mfano page ni YOUTUBE na kwenye labels uliandika YOUTUBE basi utaikuta post kwenye labels wala sio kwenye page, usiende kuitafuta kwenye pages ila kwenye labels.

Baada ya kuiona hapo fuata maelekezo, tuendelee

 

4.   Hukisha ifungua copy link ya hiyo post na label yake

Hakikisha umeikopi link vizuri ya hiyo post kisha fuata hatua hii inayofuata

Copy link image

5.   Rudi kwenye blogger dashboard na ubonyeze layout

Hapa utaingia kuset mpangilio wa kila kipengele kwenye blog website yako.

Layout image

 

6.   Navigation Bar, nenda mahali palipoandikwa header menu kisha bonyeza edit ni alama ya kalamu utaiona kisha fuata maelekezo haya.

 

Navigation bar image

7.   Bonyeza add new item kisha nenda kajaze taarifa kama itakavyokuomba kujaza

 

New item image

8.   Bonyeza site name na kisha hapo jaza jina la page mfano YouTube

 

9.   Bonyeza site url kisha mahali hapa futa utakachokikuta kisha pest ile link ya post uliyoikopi kwenye maelekezo namba 4

Site name image and url image

 

10.                     Bonyeza save kisha save pia pages layout na hapo umemaliza. Nadhani umeamini kuwa ni rahisi sana kufanya hilo, ni rahisi na kila kitu ni rahisi.

 

 Enjoyyyyyyyyyyyyyyyy

 

 

Boooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

Hongera kwa kazi nzuri, sasa umefanikisha kuiweka post yako kwenye page yako.

 

Sasa ili kuweka kila post kwenye page ni rahisi sasa

Nenda sehemu ya post, bonyeza labels na utaiona ile lable ambayo uliitumia mwanzo na hapo itapeleka post hiyo moja kwa moja kwenye page husika.

Booooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmm

Unaswali lolote, basi comment hapo chini na nitakujibu moja kwa moja ndani ya muda mfupi.

Ahsante kwa kuendelea kujiunga nami.

Endelea kushare darasa hili kwa wengi na wao watafurahi kuyajua haya.

Darasa litakalofuata ni namna gani ya kutengeneza

log in page na sign up page.

<<<<<<<<<<<<<<<<<Stay tuned>>>>>>>>>>>>>>>

Boooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

By

    Thobias Cosmas

About TECHNO ONLINE RICHES

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments: