HOW TO CREATE A PAGES ON BLOGER AND
TO ADD POST IN THE PAGES
JINSI YA KUTENGENEZA PAGE NA KUPOST
KWENYE PAGE
Habari, ni wakati mwingine mzur
i ambao sasa utaenda kujifunza namna gani ya kutengeneza page kwenye blog website na kuweka post zako kwenye page hiyo utakayokuwa umeitengeneza.
Page ni kurasa kwa lugha rahisi lakini kurasa hii
ndiyo inayoonyesha mgawanyo wa sehemu tofauti tofauti zilizopo katika blog
website. Kwahiyo mgawanyiko wa sehemu kwenye blog hiyo ndio page, sawa basi
tuendelee.
Kama unataka kuiweka blog yako kwenye muonekano mzuri
basi hapa ni mahali pekee ambapo unaweza kutengeneza muonekano mzuri wa blog
yako.
Blog designing inategemeana na Page designing na
Themes and layout designing, nitafanya yote kwa ajili yako ili basi blog yako
iwe na muonekano wa kuvutia kwa mtu yeyote atakaye iona basi imvutie.
Basi bila kuchelewa naomba twende sambamba kwa namna
gani ya kutengeneza page kwenye blog website na kupost kwenye hiyp page.
Page image
PAGE CREATION/ JINSI YA KUTENGENEZA PAGE.
Katika kitu rahisi kwenye
blog hususani blogger.com ni kutengeneza page, lakini kitu kigumu
kinachosasumbua wengi ni kuweka post zako kwenye hiyo page, usiogope, twende
sambamba.
Ila kutengeneza page yako kwenye blog basi
unatakaiwa kufuata njia zifuatazo
Hatua za kufuata ili kutengeneza page
1.
Bonyeza new page
Ukisha bonyeza new
page ambayo inapatikana upande wa kushoto kwenye blogger field na baada ya
kubonyeza itakuja kama unataka kuandika kitu hapo au kuweka post ya aina
yoyote. Baada ya hapo fuata hapa
New page image
2.
Andika Title ya page yako
Hapa utatakiwa
kuandika neno ambalo limebeba dhima la page yako
Page title image
3.
Bonyeza
publish
kisha maliza na kubofya comfim
Publish image
Vixuri, mpaka hapo tayari
umeweza kufungua/ kuanzisha page lakini page hii itakuwa haina kitu chochote,
(emty page) kwakuwa tayari umefungua page basi fuatana name ili uweze kuweka
posts kwenye page hiyo uliyo ifungua. Ni rahisi na usiogope.
JINSI YA KUWEKA POST KWENYE PAGE
Hakuna sababu ya kuogopa
katika hili, okay, umekwisha kutengeneza post mbalimbali ambazo zina mada
tofauti tofauti na katika hizo kuna baadhi ya topics ambazo zinaingiliana, sasa
usiogope ni rahisi sana kufanya mpangilio mzuri wa post yako kwenye webview.
Twende sawa,
ili uweze kuzipost kwenye
page husika ulizozitengeneza basi yafuatayo ni muhimu sana kufuata.
Hatua za kufanya kupost kwenye page
Ukisha maliza kufungua
page na kufweka post zako basi hatua ya kwanza kabisa
1.
Fungua post
unayotaka kuiweka kwenye page yako
2.
Mkono wa kulia
kuna mahali pameandikwa lables bonyeza hapo na kisha jaza jina la page yako hapo kama
ulivyoiandika. Kisha bonyeza update
Labels image
3.
Bonyeza website
preview ili kuangalia post hiyo
ilipo, na post hiyo utaikuta kwenye post tag ya jina uliyoiandika kwenye
labels, mfano page ni YOUTUBE na kwenye labels uliandika YOUTUBE basi utaikuta
post kwenye labels wala sio kwenye page, usiende kuitafuta kwenye pages ila
kwenye labels.
Baada ya kuiona
hapo fuata maelekezo, tuendelee
4.
Hukisha ifungua copy
link ya hiyo post na label yake
Hakikisha umeikopi
link vizuri ya hiyo post kisha fuata hatua hii inayofuata
Copy link image
5.
Rudi kwenye
blogger dashboard na ubonyeze layout
Hapa utaingia
kuset mpangilio wa kila kipengele kwenye blog website yako.
Layout image
6.
Navigation Bar,
nenda mahali palipoandikwa header menu kisha bonyeza edit
ni alama ya kalamu utaiona kisha fuata maelekezo haya.
Navigation bar image
7.
Bonyeza
add
new item kisha nenda kajaze taarifa kama itakavyokuomba kujaza
New item image
8.
Bonyeza
site
name na kisha hapo jaza jina la page mfano YouTube
9. Bonyeza site url kisha mahali hapa futa
utakachokikuta kisha pest ile link ya post uliyoikopi kwenye maelekezo namba 4
Site name image and url image
10.
Bonyeza save
kisha save pia pages layout na hapo umemaliza. Nadhani umeamini kuwa ni rahisi
sana kufanya hilo, ni rahisi na kila kitu ni rahisi.
Enjoyyyyyyyyyyyyyyyy
Boooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Hongera
kwa kazi nzuri, sasa umefanikisha kuiweka post yako kwenye page yako.
Sasa
ili kuweka kila post kwenye page ni rahisi sasa
Nenda
sehemu ya post, bonyeza labels na utaiona ile lable ambayo uliitumia mwanzo na
hapo itapeleka post hiyo moja kwa moja kwenye page husika.
Booooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmm
Unaswali
lolote, basi comment hapo chini na nitakujibu moja kwa moja ndani ya muda
mfupi.
Ahsante
kwa kuendelea kujiunga nami.
Endelea
kushare darasa hili kwa wengi na wao watafurahi kuyajua haya.
Darasa
litakalofuata ni namna gani ya kutengeneza
log in page na sign up page.
<<<<<<<<<<<<<<<<<Stay
tuned>>>>>>>>>>>>>>>
Boooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
By
Thobias
Cosmas
Goooooddd nimeelewa sana
ReplyDelete