JINSI YA KUPOST PDF FILE KWENYE BLOGGER

 

JINSI YA KUPOST PDF/DOCS/EXC/PWP



CLASS 3

Kwa kawaida umepata kusikia watu wakifanya biashara za kuuza PDF DOCS na kadharika, mahali hapa ni mahali sahihi sasa pakujifunza namna gani unavyoweza kuweka pdf file n.k ili watu waweze kuzisoma na kuelewa kile kilichopo ndani yake, maamuzi ni yako kwamba aweze kudownload au aisome kidogo kisha asiweze kuendelea tena hadi atakapoilipia, tunafanyaje, hapa nifuate vizuri kwenye maelekezo ili kwamba iwe rahisi wewe kufanya hili jambo vyema kwa ubora Zaidi.

 

KUWEKA FILE ILI MTU ASIDOWNLOAD ASOME TU

Ni rahisi mno lakini hii inatofautiana na namna ya kuweka video na audio, kwasababu audio na video ni swala la kuplay na kudownload lakini kwa documents ni swala la kusoma sasa twende sambamba katika kujifunza hapa namna ya kuapload ili mtu asiweze kuichukua.

Hatua za kufuata zitakutaka kutokuweka export choice ambayo hiyo inalenga kuitoa ile file kwa maana hiyo tutaishia ID na sio export.

Hatua ili kuweka TEXT FILES

1.     Hakikisha file zako ziko kwenye google drive na ifungue kutoka kwenye restricted kuwa to anyone with link kisha copy link ya hiyo file

2.     Nenda kwenye blogger website yako kisha bonyeza palipoandikwa NEW POST ikisha funguka badili mfumo kutoka kwenye Compose view kuwa HTML VIEW

3.     Copy HTML hii kisha ufuate maelekezo

 

< iframe

          src= ‘ mfano the Pdf file link/’ kwenyelink utakuta neno View badilisha hilo neno kuwa Preview

          width= ‘100%’

          frameboarder= ‘0’

>/

 

Kupitia sehemu hii mtu ataweza kuisoma tu na bila kuidownload, japo itakuwa inaonekana vizuri kabisa bila mashaka yoyote.

 

Ukihitaji isionekane vizuri basi utatumia html hii hapa chini

 

< pdf controls>

< source src= ‘PDF FILE LINK’ type= “video/mp4’ />

</ pdf (au jina lolote la aina ya document unayoweka)>

 

Ukisha weka link yako hapo palipoandikwa PDF FILE LINK basi utabonyeza upload na file itaonekana isipokuwa haitoonekana vizuri na haitokuwa na chaguo la kushusha au kupandisha.

Hii ni njia ya kuapload.

 

UKITAKA WADOWNLOAD.

Kama unataka documents zako watu waweze kuzidownload. Ni rahisi sana

chukua HTML hii kisha iweke sehemu ya html

 

< pdf controls>

< source src= ‘https://drive.google.com/ uc?export=download&id=PDF ID’ type= “pdf’ />

</ pdf>

 

Very easy, do you see!!!!!

Yeah baada ya hapo uplod document yako na watu watakuwa tayari kuichukua kutoka kwenye website yako.

 

Boooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

Tunafanya yote kwa upendo.

Endelea kuwa nasi usichoke, tutaenda hatua kwa hatu hadi utakuwa mtaalamu mtandaoni, jambo jema ni kwamba natamani uwe mwalimu pia kwa wengine, kupitia mimi uwe mwalimu pia.

 

Tukutane kipindi kijacho

 

BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM

By

          Thobias Cosmas

About TECHNO ONLINE RICHES

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

2 comments: