JINSI
YA KUPOST PDF/DOCS/EXC/PWP
CLASS
3
Kwa kawaida umepata kusikia watu wakifanya biashara za
kuuza PDF DOCS na kadharika, mahali
hapa ni mahali sahihi sasa pakujifunza namna gani unavyoweza kuweka pdf file
n.k ili watu waweze kuzisoma na kuelewa kile kilichopo ndani yake, maamuzi ni
yako kwamba aweze kudownload au aisome kidogo kisha asiweze kuendelea tena hadi
atakapoilipia, tunafanyaje, hapa nifuate vizuri kwenye maelekezo ili kwamba iwe
rahisi wewe kufanya hili jambo vyema kwa ubora Zaidi.
KUWEKA
FILE ILI MTU ASIDOWNLOAD ASOME TU
Ni rahisi mno lakini hii inatofautiana na namna ya
kuweka video na audio, kwasababu audio na video ni swala la kuplay na
kudownload lakini kwa documents ni swala la kusoma sasa twende sambamba katika
kujifunza hapa namna ya kuapload ili mtu asiweze kuichukua.
Hatua za kufuata zitakutaka kutokuweka export choice
ambayo hiyo inalenga kuitoa ile file kwa maana hiyo tutaishia ID na sio export.
Hatua ili kuweka TEXT
FILES
1. Hakikisha
file zako ziko kwenye google drive na ifungue kutoka kwenye restricted kuwa to
anyone with link kisha copy link ya hiyo file
2. Nenda
kwenye blogger website yako kisha bonyeza palipoandikwa NEW POST ikisha funguka
badili mfumo kutoka kwenye Compose view kuwa HTML VIEW
3. Copy
HTML hii kisha ufuate maelekezo
< iframe
src= ‘ mfano the Pdf file link/’ kwenyelink utakuta neno
View badilisha hilo neno kuwa Preview
width= ‘100%’
frameboarder= ‘0’
>/
Kupitia sehemu hii mtu ataweza
kuisoma tu na bila kuidownload, japo itakuwa inaonekana vizuri kabisa bila
mashaka yoyote.
Ukihitaji isionekane vizuri basi
utatumia html hii hapa chini
< pdf controls>
< source src= ‘PDF
FILE LINK’ type= “video/mp4’ />
</ pdf (au jina
lolote la aina ya document unayoweka)>
Ukisha weka link yako hapo
palipoandikwa PDF FILE LINK basi utabonyeza upload na file itaonekana isipokuwa
haitoonekana vizuri na haitokuwa na chaguo la kushusha au kupandisha.
Hii ni njia ya kuapload.
UKITAKA
WADOWNLOAD.
Kama unataka documents zako watu
waweze kuzidownload. Ni rahisi sana
chukua HTML hii kisha iweke sehemu ya
html
< pdf controls>
< source src= ‘https://drive.google.com/
uc?export=download&id=PDF ID’ type= “pdf’ />
</ pdf>
Very
easy, do you see!!!!!
Yeah baada ya hapo uplod document
yako na watu watakuwa tayari kuichukua kutoka kwenye website yako.
Boooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Tunafanya
yote kwa upendo.
Endelea kuwa nasi usichoke, tutaenda
hatua kwa hatu hadi utakuwa mtaalamu mtandaoni, jambo jema ni kwamba natamani
uwe mwalimu pia kwa wengine, kupitia mimi uwe mwalimu pia.
Tukutane
kipindi kijacho
BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM
By
Thobias
Cosmas
Nimeipenda sana hii tutorial na imenifundisha mna
ReplyDeleteShukran sana, keep on tuned
Delete