KUZA YOUTUBE, TIKTOK, INSTAGRAM NA TWITER

 


Ili kukuza account yako. Jaza fomu hii uhakika, youtube channel na account zingine zinalipa pale tu utakapotimiza vigezo. Baadhi ya vigezo vya youtube channel kukulipa ni
1. Kuwa na subscribers 1000. (1K)
Na
2. Public watching time (hours) 4000 (4K)
Au 
3. Short views milion 10 (10M)

Unataka kukua kwa haraka basi 
Bonyeza hapa kujaza fomu.

na baada ya kutimiza vigezo viwili ikiwemo cha subscribers 1K basi utaweza kujiunga na program inayoitwa YOUTUBE PARTNER PROGRAM na hapa utaweza kuwezesha account yako kuonyesha matangazo (ADS) Kwenye video zako. Na kila View 1 kwa tangazo basi atakuwezesha kupata kati ya $0.01 hadi $0.03 na kama utapata Views 1000 hukuletea $10  hadi $30, kwa views 10000 utapata kati ya $100 hadi $300na kwa views 100,000 utapata kati ya $1000 hadi $3000 ambapo kwasasa $1= Tsh. 2500
Kwahyo
$10 - $30 = 25000 - 75000
$100 - $300 = 250000 - 750000
$1000 - $3000 = 2500000 - 7500000
Na kuendelea. Kiufupi youtube inalipa

Shida kubwa huwa ipo kwenye kutimiza vigezo. basi CAZASMM iliyo chini ya Technoonlineriches tunakusaidia kukutimizia vigezo vyote na hatimae account yako ianze kulipwa.

Ili usaidiwe na gharama zetu ni nafuu sana kwa haraka unaanza kulipwa.

 nadhani zaidi ya mitandao yote ya kijamii Youtube inalipa sana kwahiyo, njoo utengeneze pesa na CAZASMM 

Bonyeza hapa kujaza fomu na kisha tuanze kazi chap kwa haraka
Karibu nikusaidie kufikia malengo yako.

Wasiliana nasi direct 0622220214 na ukikutana na changamoto yoyote tufuate whatsapp tutakujibu kwa wakati au piga.
Ahsante karibu

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

About TECHNO ONLINE RICHES

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment